Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hii ndiyo Orijino. Koromije laivu kabisa !!!Hapana, hii pia naipenda[emoji4]
Kumekucha salama kabisa babe,Hulali?
Kesho ni sikukuu ya shukrani (Thanksgiving). Ni kula Turkey tu na kunywa. Hata usingizi hakuna !!!