Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

23507710_1465317430251926_3121046399202885632_n.jpg
haya
 
Ni biashara gani unafanya ambazo hazina uwezekano wa kula hasara? Tushtuane jamani. Na Siku nikija Mwanza halafu ukatae kuonana nami nitakwenda hata Radio Free Afrika kulalamika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
"Mimi Shimba ya Buyenze,ni mzaliwa wa Koromije.
Nimepotezana na dada yangu aitwae Numbisa,anaishi Mwanza.

Dada yangu anajihusisha na ushauri wa afya na tiba mbadala (faida za kutumia 'konokono' mara kwa mara) kwa walio na matatizo ya moja kwa moja.

Mara ya mwisho kuonana nae ilikuwa kwenye somo la FOREX tukiwa watatu (SYB,myoyambendi na Numbisa) ukumbi wa JF.

Chonde dadaangu,popote ulipo,jitokeze nipo hapa kwenye riredio firii afilika mwanawane nakungojaga"

Hello Shimba...
Hello Numbisa...
Hello everyone out there...
 
Back
Top Bottom