Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-11-23-21-09-22.png
 
Jamaa aliingizwa mkenge. Binti kaenda kufanya plastic surgery Hong Kong. Jamaa kaoa. Watoto kuzaliwa wako "ugly" mbaya. Jamaa akaanza kuchunguza ndipo akaona picha za mkewe kabla ya plastic surgery na zinafanana na watoto wake. Akamburuza mkewe mahakamani na mahakama ikakubali kwa misingi kwamba mke alipaswa kumwambia jamaa kuhusu hiyo surgery yake kabla hawajaoana...
d6e118334a5b04e33a649e0c375f8ea7.jpg
Tatizo mnachagua sanaaa,wabaya hamtutaki mnataka warembo wenye sura na shepu nzuri acheni muibiwe tu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom