Wanafiki wakubwa !!!Adui wa rafiki yako ni rafiki yako.mataifa ya Ulaya yajipanga kurejesha misaada Zimbabwe
Kila mtu na wake shemeji, na kila mtu ana uzuri wake. Mbaya ni yupi, na mzuri ni yupi ni suala la kinafsiya zaidi. Mkanganyiko eeeeh !?!Tatizo mnachagua sanaaa,wabaya hamtutaki mnataka warembo wenye sura na shepu nzuri acheni muibiwe tu[emoji23][emoji23][emoji23]