myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Weekend inaendelea
Hee jaman kila avatar inakutega,ukuje kanisan kwetu uombewe. Misa ya wababa na wakaka tu
Hahaha kwamba ulikuwa hujui km Carba ni single lady sasa hv?Una sema kweli? Nilikuwa sijui kabisa
Ile picha ya kaka,atume bana tupate DNAHebu nitumie ile picha ya kikosi kimoja hivi cha mpira ambayo ilikiwa na mkuu wa mkoa pendwa,ninashida nayo [emoji23][emoji23][emoji23]
Huko kirumba ila hata mchungaji ni mbabu hamna ladies ujueHilo kanisa liko mitaa gani nizuke? [emoji1][emoji1]
Kabisa yaaniHahaha kwamba ulikuwa hujui km Carba ni single lady sasa hv?
Hahahahaa sio wewe unaetype hapa hahaah unahitaj maombBasi hilo kanisa na Misa yao havinifai! [emoji1][emoji1][emoji124][emoji124]