HARUFU
Platinum Member
- Jan 21, 2014
- 31,702
- 48,146
😀😀😀😀😀.Ulikuwa mchezaji wa timu gani, Seaview Rangers? [emoji1][emoji1]
YEGO acha Uchokozi BANA😀
😀😀😀😀😀.Ulikuwa mchezaji wa timu gani, Seaview Rangers? [emoji1][emoji1]
😀😀😀😀😀.
YEGO acha Uchokozi BANA😀
😀😀😀😀😀.
Umekosea😀
Nilikuwa najichanganya pande zote zile kote mpaka ZANAKI, sema kipindi kile wakati wa PAZI na VIJANA enzi za Upinzani wao, wale walikuwa Wakubwa kidogo na MADEMU zao nakumbuka.Hahaaa, sawa mkuu! Vipi Vijana Bulls na ka uwanja kao pale Zanaki Sec, ulikuwa unakwenda? Au ulikuwa Muzee wa Pazi pale Gymkana?
Nilikuwa najichanganya pande zote zile kote mpaka ZANAKI, sema kipindi kile wakati wa PAZI na VIJANA enzi za Upinzani wao, wale walikuwa Wakubwa kidogo na MADEMU zao nakumbuka.
Unakumbuka kipindi kile cha Upinzani wa VIJANA na PAZI ilikuwa inafikia kwenda kupiga GEMU nje ya KITAA, kuna wakati walikuwa wanaenda Kupiga GEMU Uwanja wa TAIFA wa NDANI, na kuna wakati WATU walikuwa wanaenda kupiga Gemu MLIMANI.
Mimi KIKAPU nilikuwa nazolewa kama KAMPANI kwenda kuangalia MAGEMU, mimi upande wangu ilikuwa Mpira wa Miguu kwa sana.
YEGO unachimba unataka nifunguke huna lolote😀.
Wewe unataka kila Mtu astukie PICHA hapa.
Hapa unanifanya nifunguke kwa Umakini na Uoga sasa😀.
Naogopa kufunguka kinoma noma
Haya bhana,me nakumiss tuKipenzi kwani nimekufa [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimekuwa busy tu mtani si unajua mm ndio dr shika pimbi wangu
Watoto Wazuri.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... Basi inatosha mkuu, minya! Ama kweli, Darisalamu New York! Wakati ule unaishia tu kujisemea, ama kweli wakubwa wanafaidi! Watoto wazuri balaa!
Watoto Wazuri.
MIPIRA (MAGARI) imeegeshwa kama mbele vile.
Mtu katoka KUDUNDA kigiza kimeshaanza kuingia ingia pale ZANAKI Watu wanapeana MATE hadharani.
Au YEGO ulikuwa huoni yale mambo kama MAMTONI?😀.
YEGO, BISHA kama haya ninayoyasema ni ya Uongo