babe S
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 3,879
- 20,859
Good, na soon utatufikia mi ndo nafika mda huuNiko 5hrs ago...na like post zote ambazo sikuziona
Good, na soon utatufikia mi ndo nafika mda huuNiko 5hrs ago...na like post zote ambazo sikuziona
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Ambaye sijampa like akanisemee kwa Paw.
Ila huu ujinga kwa hiyo hata ukitukanwa una like tu!
Mkuu unamwambia nani maneno hayo matam me mwanaume bana angalia ntakuchenjua
Kula like jombaaa
Hiv like huwa hazizid tano, mbona naona like tano tano kwa kila post
Mods nimetengua kauli..sikujua likos ni tamu this much
We kaka una akili saaana!!!big upz
Yaaan we dada mzuri saana na unafaa kuwa mke mwema!!!ngoja nitafute Mali nije kwenu kuwaona wazazi tuishi pamoja kama mke na mume!!?
Ngoja nirudi mwanzo na mie nikaanze ku liko
[emoji1] [emoji1]
Basi no comment kumbe na mie nimepewA liko
Wote mmehamia kwenye huu uzi