demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,309
- 15,294
hahahah!!!!! wacha maneno nipe like
hahahah!!!!! wacha maneno nipe like
Atokee basi mtu aombe mods wafute huu uzi
Mi za wengine sitaki nataka ya miss chagga Ti
Tunakosea matumizi ya like sasa
Badilisha like kuwa pesa
Sicoment chochot
Ebitoke.
Post moja max no of like ni 5 nikilike ya 6 inachukuliwa na mods au?
Ukifika kwenye huu uzi anzia page ya kwanza toa like mpaka page ya mwisho halafu weka comment yoyote utapata like za kutosha kwa wanaokuja. Hapa hamna uchoyo ni kupeana likes tu hamna kificho
Ukifika kwenye huu uzi anzia page ya kwanza toa like mpaka page ya mwisho halafu weka comment yoyote utapata like za kutosha kwa wanaokuja. Hapa hamna uchoyo ni kupeana likes tu hamna kificho
NATURE DOES NOT NEED PEOPLE BUT PEOPLES NEEDS NATURE
RESPECT NATURE
Hivi hakuna uwezekano wa kuweka like mara mbili in one comment
Kwenye app yao jf ndo ipo hivyo ila kama unatumia computer like zinakonekana zote au ukiingia moja kwa moja kwa kutumia browser
Jembekillo kwani we ndo umeambiwa? Au nimetaja jina lako?mie namwambia huyo mrembo
joka makengeza
Mkimaliza naombeni mrejesho nani kashinda aliyepa likes nyingi