Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kirutubishi Cha Mwili Ni Nini?
Chakula tunachokula ndicho kinachoupatia mwili virutubishi au vitu vinavyotoa nguvu mwilini, kuusaidia mwili kukua, kupambana na maradhi n.k. Kusudi mwili upate virutubishi hivyo kutoka kwenye chakula tunachokula, chakula hicho lazima kivunjwevunjwe kwanza.