Kuna vitamini 13, ikiwa ni pamoja na vitamin A,B complex, C, D, E na F. Kwa sababu vitamini nyingi hazitengenezwi na miili yetu, zinatakiwa zipatikane kutoka kwenye chakula.
Pamoja na kwamba ni vitu muhimu, vitamini na madini huhitajika kwa kiwango kidogo. Vitamini na madini hupatikana katika chakula tunachokula, lakini kwa kawaida mahitaji ya mwili ya vitamini na madini ili uwe na afya huwa ni makubwa kuliko kiwango kinachopatikana kwa kula chakula.
Maji: Maji hujenga asilimia 65 ya mwili wa binadamu. Ni lazima mwili uwe na maji ili mwanadamu aweze kuishi. Maji yana kazi ya kusafirisha virutubishi kwenda kwenye seli na kutoa vitu visivyohitajika kutoka kwenye seli.
Maji: Maji hujenga asilimia 65 ya mwili wa binadamu. Ni lazima mwili uwe na maji ili mwanadamu aweze kuishi. Maji yana kazi ya kusafirisha virutubishi kwenda kwenye seli na kutoa vitu visivyohitajika kutoka kwenye seli.
Inashauriwa mtu anywe glasi 8 za vimiminika kwa siku, ambavyo vinaweza kuwa ni maji matupu, juisi, maziwa , supu au chakula chenye maji kwa kwa wingi kama mboga na matunda. Maji hutoa sumu na kuusafisha mwili. Wakati wa kufanya mazoezi, maji hufanya kazi ya kuupoza mwili.
Mlo kamili (balanced diet) ni mlo ulio na virutubishi vinavyohitajika na mwili ili uweze kufanya kazi ipasavyo. Ili kupata virutubishi vinavyotakiwa kutoka kwenye mlo, unahitaji upate kalori nyingi kutoka:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.