Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Halafu wakibondwa watu wanaanza kulalamika eti hakuna demokrasia. Domokrasia gani inayotafutwa hapa?
[emoji124] [emoji124] una hamu ya kuwa kibogoyo wewe.Jamani tupo humu kama marafiki ambao lengo ni kuleta umoja kati yetu, ila tusileteane mazoea ya kijinga kwakuwa eti tupo kwenye uzi mmoja. Kitu kama hukijui ni vyema uulize sio kuropoka na kujiamulia huku ukiwakwaza wengine. Aliyempa namba yangu Robert Mugabe bila ruhusa yangu ni nani???? Au nia yenu mnigombanishe na Jeshi la Zimbabwe??? Ebu achani ujinga!!!!
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Wanajeshi wa Zimbabwe wana nidhamu. Wameshindwa kumbogoyesha Mugabe waje wanibogoyeshe mimi? Whai?[emoji124] [emoji124] una hamu ya kuwa kibogoyo wewe.
"Unacho kitafuta utakipata"