Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jamaniiiiii !!!
910959028f3f4f3debcbcb8ab30acb73.jpg
 
Jamani tupo humu kama marafiki ambao lengo ni kuleta umoja kati yetu, ila tusileteane mazoea ya kijinga kwakuwa eti tupo kwenye uzi mmoja. Kitu kama hukijui ni vyema uulize sio kuropoka na kujiamulia huku ukiwakwaza wengine. Aliyempa namba yangu Robert Mugabe bila ruhusa yangu ni nani???? Au nia yenu mnigombanishe na Jeshi la Zimbabwe??? Ebu achani ujinga!!!!
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Teh teh teh
 
Back
Top Bottom