Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1511610541412.jpg
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] vijana wa siku hizi shuanii kabisa, unajitahidi kumlea binti yako angalau amalize la saba bila bugudha,lakini wanacho kufanyia....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Usiwalaumu vijana pekee. Mlaumu pia na binti yako [emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
 
Haki ya nani naenda kuchunga naye sasa hivi. Umenikumbusha mbali sana. Kuchunga kutwa na wasichana...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] enzi zile walikuwa wanavaa gauni aliloachiwa na shangazi yake aliye toka Dar,lina kuwa ova saizi.Ukimfunua na fimbo mara paaap,kitu nekedi...
 
Back
Top Bottom