Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Wanaume wa Dar wana vituko. Kama mahindi yaliyoungwa yamekushinda hamia kwenye pweza...![]()
Dar nimeishindwa kwa kweli.Mhindi wa kuchoma unakuwa na viungo?
Nipo Kitonga ndo narudi zangu Tukuyu,siwezi kula mahindi ya kuchoma yaliyo ungwa pilipili,ndimu,ukwaju,sijui na nini vilee? Vinatereza mdomoni...