Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Wanaume wa Dar wana vituko. Kama mahindi yaliyoungwa yamekushinda hamia kwenye pweza...
Dar nimeishindwa kwa kweli.Mhindi wa kuchoma unakuwa na viungo?
Nipo Kitonga ndo narudi zangu Tukuyu,siwezi kula mahindi ya kuchoma yaliyo ungwa pilipili,ndimu,ukwaju,sijui na nini vilee? Vinatereza mdomoni...