Mbona like zenyewe mwisho 5 tu?
Subirini nifunguwe ndo mnipe like,
Hamna ubaguzi humu mkuu nimekupa like
Morning to you champGOOD MORNING TANZANIA
Hapa hatuchenjui like kama makinikia sie tupo kiacacia zaidi ni full likes tu
Subirini nifunguwe ndo mnipe like,
AMUN RAJamani eid njema, baadaye kiddogo
Makinikia
Niko hapa bar nimekaa jirani na Kinikia moja linanichekea halijui kuwa mimi ni Smelter.
Nahisi kulichenjua lakini nadhani kama madini nitakuta chuma chakavu manake linapiga Balimi na mimi niko ki-Acacia zaidi silipi kodi kwa Makinikia feki [emoji38][emoji38]
Nimegundua kuna ubaguzi wa like..
Napendaga ma likes camera action!! Nagawa na ma likes!
kula like
Hizi ni buuum kubaaaaa