andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
[emoji124] [emoji124] [emoji124] Atakuwa yule bwana wa kuleHuyo fundi aliyefunga hilo feni atakuwa mnyaki au mkoromije[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
[emoji124] [emoji124] [emoji124] Atakuwa yule bwana wa kuleHuyo fundi aliyefunga hilo feni atakuwa mnyaki au mkoromije[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Lazy day,dah!Safi.... Ni R.M carba sio mimi.
Habari ya Jumatatu?
Hii raha hii. Nikija yaani ni Kikoromije tu tangu mwanzo mpaka naaga. Halafu nitakuwa nakuangalia sana mpaka ujishtukie. Kumbe tunaongelea mambo ya kimila yasiyohusiana na wewe kabisaa. This will be good [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nakijua cha kujihami tu.Wife akiwa anaongea na ndugu zake natega nyungo zangu ili nimnyake kama wananiteta au vipi... Kuongea sikiwezi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Naona kama kuna dalili ya pilau hapo..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kama nakuona unahamishiwa MloganzilaKibamba eeeh[emoji125] [emoji125] [emoji125] nitakuwa hapo noeli hii hata bila mualiko
Hiyo ni.mimba ya binadamu ama??
Jamani kwani hukukuta missed calls zangu?mana nilikuwa nakuita uje huku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nyie wote ni wale wale,ule usiku mbovu wawili [emoji111] tu!!! Kweli?
Yaanii hapa hata sijielewi usingizi sio usingizi na kazi kibao[emoji53][emoji53] .Lazy day,dah!
Salama tu sijui upande wako mvivu mwenzangu[emoji4][emoji4]
Acha tu,maisha haya....Namshukuru Mungu tupo vizuri, pole sana mamaangu.
Naona jua laenda kuchomoza huko uliko.
Amina[emoji120] [emoji120]Hii ndo maneno sasa. Huku kwema mno. Kuna baridi kali lakini safi sana. Tumshukuru Mungu daima !!!
Ujanja wote huo[emoji23][emoji23][emoji23]Nakijua cha kujihami tu.Wife akiwa anaongea na ndugu zake natega nyungo zangu ili nimnyake kama wananiteta au vipi... Kuongea sikiwezi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Me mnialike nije kurekodi matukio na kushuhudia mgeni akifukuzwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii raha hii. Nikija yaani ni Kikoromije tu tangu mwanzo mpaka naaga. Halafu nitakuwa nakuangalia sana mpaka ujishtukie. Kumbe tunaongelea mambo ya kimila yasiyohusiana na wewe kabisaa. This will be good [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lunch kila siku kwako,acha nitafute hiyo nafasi[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kama nakuona unahamishiwa Mloganzila
[emoji124] [emoji124] [emoji124] ParachichiHakukuwa na mtu mwingine. Sasa ulitegemea nini?
Pole dear...Yaanii hapa hata sijielewi usingizi sio usingizi na kazi kibao[emoji53][emoji53] .