Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kumekucha salama. Pilika pilika za maisha ezi yujo zimeshaanza. Huko kukoje? Tumshukuru Mungu [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Teh!
Habari ya kuamka shemeji
Kumekucha salama. Pilika pilika za maisha ezi yujo zimeshaanza. Huko kukoje? Tumshukuru Mungu [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Teh!
Habari ya kuamka shemeji
Ahadi ni deni.Hajatuma bado[emoji17][emoji17]
Safi.... Ni R.M carba sio mimi.Wifi vipi tena??
Mapishi....ya watu
Nyie wote ni wale wale,ule usiku mbovu wawili [emoji111] tu!!! Kweli?Shemejiiiii!!
Maneno yote haya yananihusu mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
SHIMBA YA BUYENZE shemeji jua limechomoza huku amka ujeeee
Namshukuru Mungu tupo vizuri, pole sana mamaangu.Hakika....
Habari ya wewe na familia
Hakukuwa na mtu mwingine. Sasa ulitegemea nini?Nyie wote ni wale wale,ule usiku mbovu wawili [emoji111] tu!!! Kweli?
Nakijua cha kujihami tu.Wife akiwa anaongea na ndugu zake natega nyungo zangu ili nimnyake kama wananiteta au vipi... Kuongea sikiwezi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Na wewe unajua kisukuma?nifundishepo basi...
Huku kwema kabisa nashukuru Mungu[emoji120][emoji120]Kumekucha salama. Pilika pilika za maisha ezi yujo zimeshaanza. Huko kukoje? Tumshukuru Mungu [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ahadi ni deni.
Anza kudai,ividensi ya kuahidiana ninayo.Tena alisema itakusaidia kuongezeka kwa haraka sana