myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
14:36
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] shemeji,wee ile unashuka tu pale usihangaike,niite nije nikupokee...Tukeshe tukipeana like za laivu laivu.Nakuona Nakuona. Siku imeendaje?
Unachosema ni kweli. Kuna siku najitahidi kweli kutoingia katika uzi huu lakini wapi. Najikuta tu nshatumbukiamo. Kuna viwasha taa (triggers) vikianza kumulika lazima tu utakuja mwenyewe. Tumekuwa ndugu na marafiki bila kujuana. Na mimi kwako dadangu lazima anipikie ugali siku moja aisee...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hata sijui fundi aliwaza nini ?Electrician wa Kinyakyusa huyu bila shaka !!!
Mkuu,jirani yako ni muhimu sana.Sijamuona muda sana[emoji23] [emoji23] [emoji23]wewe ni muhimu sana..
Hajatuma bado[emoji17][emoji17]Nilijua tu.
Bwana yule aliahidi kukutumia vile vitu vya kukuongezea ujazo.Bado tu?