Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

bb1b276836faecd59217b8466816aae6.jpg
 
Yaani we kabinti wewe....mule mule yaani...
Mimi nakujaga huku kwa ajili ya watu Fulani... Siku ikipita bila kuwaona naumia kweli. Cha ajabu "naridhika na mwandiko wao tu,siwajui na hata sijui kama ipo siku nitawaona"[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Muacheni Mungu aitwe Mungu.Maana nafsi zetu zinapendana...
Nakuona Nakuona. Siku imeendaje?

Unachosema ni kweli. Kuna siku najitahidi kweli kutoingia katika uzi huu lakini wapi. Najikuta tu nshatumbukiamo. Kuna viwasha taa (triggers) vikianza kumulika lazima tu utakuja mwenyewe. Tumekuwa ndugu na marafiki bila kujuana. Na mimi kwako dadangu lazima anipikie ugali siku moja aisee...
 
Back
Top Bottom