Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nakijua cha kujihami tu.Wife akiwa anaongea na ndugu zake natega nyungo zangu ili nimnyake kama wananiteta au vipi... Kuongea sikiwezi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hii raha hii. Nikija yaani ni Kikoromije tu tangu mwanzo mpaka naaga. Halafu nitakuwa nakuangalia sana mpaka ujishtukie. Kumbe tunaongelea mambo ya kimila yasiyohusiana na wewe kabisaa. This will be good [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Me mnialike nije kurekodi matukio na kushuhudia mgeni akifukuzwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…