Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
"Mama,naona mnafurahiana sana na kakaako,yaani fulu kikwenu.Samahani kuna ughafla wa kwenda Moro,nitaondoka na kakaako sawa eee..."
Brother hapo ndio utakuwa mwanzo wa safari yako ya Koromijeeee...
 
Dah! Kwa kuwa ni kwako sasa nitafanyeje? Nitamwambia tu dadangu "Aliyo otolwa nigosha lyasagala gete" halafu safari yangu ya Koromije inaanza !
 
Utasikia mgeni anajibu"me sina safari ya moro mbona,we nenda tu ukirudi utanikuta"
Mara waifu naye anajibu"kweli babe acha mgeni apumzike kachoka na safari na chumba cha wageni nishamuandalia"
Mgeni fulu magego[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwenye nyumba kapata hati ataki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…