moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Mkuu asante sana, karibu sana hapa na endelea kutumwagia elimu hiyo ya afya ya mwili. Karibu sana mkuuU.T.I ni kifupi cha maneno URINARY TRACT INFECTION, na kwa kiswahili ni MAAMBUKIZI YA NJIA YA MKOJO.
Njia ya mkojo inaanzia kwenye Figo (kidney) ambako ndiko damu inakochujwa na utengenezaji wa mkojo huanzia na njia hiyo huishia kwenye Urethra (Mrija unaotoa mkojo nje ya mwili) ukitokea kwenye kibofu (bladder).
Kwa kifupi njia ya mkojo hujumuisha sehemu zifuatazo, Figo, Ureter, Kibofu cha Mkojo na Urethra.