Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

65e365c9d96172e1b906f79556cfb703.jpg
[emoji124] [emoji124] [emoji124] eee utapika na kupinduka utapinduliwa tu.
 
Utazuiaje U.T.I

Kwanza kama unahisi dalili za U.T.I wahi kituo cha Huduma uweze kupata vipimo na matibabu mapema, hii itasaidia usipatwe na athari zaidi lakini pia kupunguza kiwango cha Maambukizi katika jamii.

Njia nyingine rahisi katika maisha ya kila Siku ni pamoja na,

1.Kunywa maji mengi (Kiwango cha kutosha)

2.Wakati wa kujisafisha baada ya haja kubwa nawa/osha toka mbele kwenda nyuma.

3.Kojoa Mara tu usikiapo/kuhisi hamu ya kufanya hivyo.

4.Kojoa Punde tu Mara baada ya KUTIANA

5.Chagua njia ya uzazi ambayo siyo sababu hatarishi ya kupata U.T.I

6.Zingatia mlo kamili na tumia matunda yenye maji kwa wingi kama matikiti.

7.Kwa wanaotumia vyoo vya jumuia mwagia ambavyo si vya shimo, mwagia maji kabla na baada ya kujisaidia.

8.Wanawake, Punguza Kujitia Madole na Matumizi ya kuchangia ya dildo.
 
Landlord calling[emoji390]
Landlord calling[emoji390]
Landlord calling[emoji390]
New number calling[emoji390]
New number calling[emoji390]
Private number calling[emoji390]
Private number calling[emoji390]
[emoji38][emoji38]Mimi si mjinga!!!afadhali new number ingekuwa ya kwanza.[emoji23][emoji23]
 
Mamonita wanoko. Andjul naamini kabisa ulikuwa monita wewe, darasa la 7 A....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
04681cef7a10b593d611f7d963843abe.jpg
Mimi niwe monitor?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom