moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Hahaha, ndiyo wenyewe[emoji3] [emoji3] [emoji3]Huu sio ukuta wa shule ya jangwani na azania?[emoji23][emoji23]
Mawazo potofu aliyeandika nampongeza[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hahaha, ndiyo wenyewe[emoji3] [emoji3] [emoji3]Huu sio ukuta wa shule ya jangwani na azania?[emoji23][emoji23]
Mawazo potofu aliyeandika nampongeza[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kama ndiyo hivyo [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hahaha[emoji3] [emoji3] [emoji3] muungwana msalitiMuulize kakake mpendwa muungwana sana Andjul Mwakitopile atakuwa anajua alipo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unasomeka mkuu, twende tuSababu Hatarishi Kwa Mtu Kupata Maambukizi katika njia ya mkojo (U.T.I)
1.JINSIA - Wanawake wapo katika hatari kubwa kupata U.T.I kuliko Wanaume, hii ni kutokana na maumbile ya via vya uzazi ambapo wanawake wana Urethra fupi hivyo kuwafanya Bakteria kusafiri kwa urahisi na uharaka na kufika kwenye Kibofu cha mkojo.
2.Baadhi ya njia za uzazi wa mpango, kama vile vitanzi.
3.Matatizo/DOSARI katika njia ya Mkojo - Matatizo haya yanaweza kuwa ya kuzaliwa nayo au yale yanayopatikana baada ya kuzaliwa, mfano kuziba kwa njia ya mkojo.
4.Matumizi ya muda mrefu ya mpira wa mkojo (Catheter)
5.Upungufu wa kinga Mwilini, hii hupelekea mwili kushindwa kupambana na vijidudu. Magojwa kama Kisukari, Saratani na Hata Matumizi ya Mionzi-Tiba kwa muda mrefu.
6.Ukomo wa Hedhi (MENOPAUSE), Kushuka kwa kiwango cha kichocheo (Hormone) aina ya Oestrogen Mara tu baada ya mwanamke kuanza kukosa kuona hedhi hupelekea kumuweka katika hatari ya kupata U.T.I
Mkuu unacho ongea ni kweli kabisa. Mwaka jana nilimuokoa mtu kwa gharama ndogo sana,amepelekwa hospital ya wilaya,kwa jinsi alivyokuwa analalamika maumivu ya kichwa dokta akashauri wampeleke Ikonda.Hatuko siriazi na watu wetu. Yaani mtu unaweza kufa kwa tatizo ambalo linatibika kirahisi tu yaani. Tuna safari ndefu mno wapendwa !!!
Niko poa myoyakwema kabisa. kwako je
Utelezi? Konokono anateleza ujue! Au konokono[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wee mzee una matatizo sana.Daaaaaaaaaaaaaaaaamn !!!
Mwenye konokono akikataa konokono wake asitoke gambani unamtoa kwa nguvu? Hata bila utelezi? [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
Achana na Shimba.Karibu mkuuHahaha[emoji3] [emoji3] [emoji3] muungwana msaliti
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji108][emoji124] [emoji124] [emoji124] eee utapika na kupinduka utapinduliwa tu.
Duuu, ubakaji!!!Sijaribiwi.Usinijaribu.
Yaani muda wa kupika utapika na muda wa kumruhusu konokono kutoka kwenye gamba lake atatoka tu...
Mkuu hivi siku hizi kuna mwanamke wa kulazimishwa hivyo?Duuu, ubakaji!!!