Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
All day everyday mkuu moud.habari yako mzee wa pwaniWapi Cole William
Hivi kesi ya ubakaji hukumu yake ikoje vile?Mkuu hivi siku hizi kuna mwanamke wa kulazimishwa hivyo?
Malalamiko ya wanaume kunyimwa unyumba ni mengi zaidi ya malalamiko ya wanawake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ni NHIF...Itakuwa ameandika kwa kinyakyusaHivi ni NIHF au NHIF?am confused[emoji23][emoji23][emoji23]
Nililitarajia jibu hilo.Kupika sipiki na kutoa sitoi[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Jamaa kabeba nini hapo mkono wa kushoto?macho hayaoni[emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi SYB alisema anaenda kuchunga naye alileta mrejesho?
[emoji125] [emoji125] [emoji125] leo siku nzima sijanywa maji,sina cha kupima nikidaiwa.Usinitege..Hii ni hospitali?so sad kama ni hivyo wenyewe tuko bize kujenga uwanja wa ndege
Birthday......Jason deruno
Na kweli maana ule muandiko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ni NHIF...Itakuwa ameandika kwa kinyakyusa
Salama kabisa[emoji120][emoji120]Nililitarajia jibu hilo.
Habari ya mapumziko shemeji
Ila seriously,hali ya hilo eneo ni mbaya kama kituo cha afya kinachotegemewa ni hicho[emoji125] [emoji125] [emoji125] leo siku nzima sijanywa maji,sina cha kupima nikidaiwa.Usinitege..