carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Poa za kuadimika?Niambie kipenzi mambo zako
Nilitaka kutoa ripot kwa max ujue?
Poa za kuadimika?Niambie kipenzi mambo zako
Siku hizi kama mwanaume akibakwa,hakuna kufungwa. Mnarudi nyumbani mkaliendeleze hadi kichwa kijanjaruke,kiweze kutambua kuwa "baya nalo ni zuri".Hata sijui ni kweli???Hivi kesi ya ubakaji hukumu yake ikoje vile?
Report ya nini tena kipenzi?Poa za kuadimika?
Nilitaka kutoa ripot kwa max ujue?
Asante jakii jumatatu iko vyema.[emoji4] [emoji4] [emoji4] Powaaa cole... misse you so much pia cole.
Za jumatatu?