Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-11-27-18-53-55.png
 
Maajabu ya ‘Ark of Peace’

Ndani ya meli hiyo kuna mandhari ya kipekee na huduma mbalimbali zinazopatikana ikiwemo wodi za wagonjwa, vyumba vya madaktari, vyumba vya upasuaji, ICU, mashine mbalimbali za matibabu ikiwemo kunyoosha mgongo.

Pia ina vyumba maalumu vyenye mashine mbalimbali na vifaa vya kisasa kwa ajili ya vipimo, huku dawa na matibabu yanayotolewa yakiwa ni ya kiasili zaidi.

Meli hiyo ina vitanda 300, kila chumba kuna wahudumu wa afya wanaoshirikiana na madaktari wa China kwa ajili ukarimani.
Karibu ujionee kwa macho kupitia video, mandhari ya chumba kwa chumba vya huduma za utabibu ndani ya meli ya kijeshi ya China iendayo kwa jina ArK Peace

largest CHINESE NAVY HOSPITAL SHIP, complete tour : Source: Vic Stafanu - World Travels and adventures
 
Back
Top Bottom