Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Binti anafungwaje na yeye ndo kabakwa?yaani we mzee wewe....Mimi mwenyewe sijui ya nchi gani!!!
Sasa afungwe binti wa watu kwa uzwazwa wa mwanaume? Si ni uonevu wa hali ya juu sana huo?
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau