Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Highly recommended
Binti anafungwaje na yeye ndo kabakwa?yaani we mzee wewe....
Siku hizi kama mwanaume akibakwa,hakuna kufungwa. Mnarudi nyumbani mkaliendeleze hadi kichwa kijanjaruke,kiweze kutambua kuwa "baya nalo ni zuri".Hata sijui ni kweli???
Mimi mwenyewe sijui ya nchi gani!!!
Sasa afungwe binti wa watu kwa uzwazwa wa mwanaume? Si ni uonevu wa hali ya juu sana huo?
Post 200 postsNAHITAJI LIKES 200[color]
Muda muda muda. Nina jukumu moja kuuuuubwa. Nikilitekeleza hilo nitakushtua....Mkuu lile suala la vitabu umefikia hatua gani? Niliona carba anakuomba uanzishe uzi