Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Enyewe kuishi single room ni poa,sometimes unaamka unaangalia mali yako yote unasmile unarudi kulala[emoji3][emoji3] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Cute[emoji7][emoji7]
Ameshapata alichokuwa anakitafuta [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
tears of Joy[emoji7]
Huyu bae ako na roho mbaya[emoji23][emoji23][emoji23]Sasa koti la bae ni la kwake? Huoni sasa ameishia kutandikwa na baridi? Ma bae wengine siyo wa kispoti spoti ati [emoji23][emoji23][emoji23]
Salama za kuamkaKwa wale mlio mbali na jioni habari za asubuhi
Nzuri mwana pwani, kwemaSalama za kuamka