Alhamdulillah huku kheri tu[emoji120][emoji120]Nzuri mwana pwani, kwema
Supu yake sasa. Utajing'ata vidole [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Joka la kibisa haling'ati![]()
Kula like mkuu. Bwege nini bana? Huku ni upendo tu 24/7 ...Anaye like bwege
Nimekubali hauyumbishwiKula like mkuu. Bwege nini bana? Huku ni upendo tu 24/7 ...
Tupo watu wa kila aina huku mkuu. Tuliokomea darasa la saba mpaka wenye Ph.D ndiyo maana kuna mada za kila aina huku na zenye viwango tofauti tofauti. Karibu sana mkuu....Nimekubali hauyumbishwi
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Kwani lazima kwenda huko? Kha!!!
Yaani ile paap!hiyo ndo barabara ya kwenda koromije sijui utaenda ama vipiKwani lazima kwenda huko? Kha!!!
Nitatafuta njia nyingine shemeji. Azawaisi nahama.Yaani ile paap!hiyo ndo barabara ya kwenda koromije sijui utaenda ama vipi
Shemeji waonekana ni muoga[emoji23][emoji23]Nitatafuta njia nyingine shemeji. Azawaisi nahama.