Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kiasi kikubwa cha mabango hayo yana ujumbe ambao hauna tafsiri ya Kiswahili isipokuwa machache. Baadhi ya mabango yanasomeka hivi: Caution Deep DANGER Excavation (hakuna tafsiri ya Kiswahili); Road Closed (hakuna tafsiri ya Kiswahili);
 
Pass Right (yaliko maneno hayo hakuna tafsiri ya Kiswahili isipokuwa nyuma ya bango hilo); Pass Left (ni kama ilivyo katika Pass Right). Mengine yana maneno: Men at Work (yapo yenye tafsiri na yasiyo na tafsiri ya Kiswahili).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…