Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Wakenya wamevurugwa[emoji23][emoji23]Wakenya wanaapa. It is time for everyone to eat [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Punguza uoga mkuu[emoji3] [emoji3]Kwani lazima kwenda huko? Kha!!!
Hujasikia zile vurugu zilizotokea?Wanafurahia rais wao kuapishwa kwa amani. Safi sana Wakenya !!!
Njema habari yako mkuuZa jioni
Bado ila nimeshajiwekea malengo siku nikizungukia mitaa ya Mao Zedong lazima niijaribu. Wengi wanaisifiaga kuwa ni zaidi ya supu ya samaki. We vipi tayari? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha mkuu, ulishalamba hiyo supu mkuu?