Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wakati furani nilishawishiwa na mpishi wetu kwenye eneo furani la mradi nile hiyo kitu ambayo jamaa aliandaa kwa watu wote waliokuwa na utayari. Tulikuwa na kampeni ya kula vyakula mbalimbali ambavyo jamii haivikubli. Hata hivyo hiyo kitu nilichemka.
Nafasi kama hizo siyo za kupoteza mkuu. Ungetest zali tu japo mara moja...[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…