ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Miguuuuuuuuuuuuu !!!
Mweee!!! Ukoromije ni tatizo sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaha jaman wakoromije wanasingiziwa
Wasukuma tumezidi kwa kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umesema?!!!!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mwakaleli hiyo wewe...
Mwakaleli...Umesema?!!!!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mi-Aliens hiyo pengine ndo inawapa wazungu siri za kuendelea kututawala na kutunyonya, zikiwemo siri za maendeleo ya sayansi. Au wazungu wenyewe ndo ma aliens...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Loh!!!
Sasa naanza kupata picha kwanini mtu akifanikiwa kidogo kupata hela kitu cha kwanza kufanya,ni kununua mafuta,sabuni,vi-tube na vikorombwezo vingine ili kubadilisha muonekano wa rangi (ray c,Ray kigosi,Wolper,na wengine wengi wasio na majina makubwa) ya mwili ili angalau aonekane kiuzungu uzungu!!
Na wazungu wametuletea mastori ya aliens kuwa yalikuja kuwaasa wazungu kuacha kupoteza hela zao kwa ajili ya mijitu mieusi...na sisi kwa ueusi wetu tumeamini kuna mi-aliens na INA akili sana![]()
Tangu lini Mwakaleli kukawa na barabara ya lami? Mma ghwe utuache,wa kwenu huyo.Mwakaleli...
Nadhani itakuwa yenyewe,au ubaya wa mieusi unawakera hadi wa sayari nyingine?!!Mi-Aliens hiyo pengine ndo inawapa wazungu siri za kuendelea kututawala na kutunyonya, zikiwemo siri za maendeleo ya sayansi. Au wazungu wenyewe ndo ma aliens...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]