Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nadhani itakuwa yenyewe,au ubaya wa mieusi unawakera hadi wa sayari nyingine?!!
7368513d3df63139a5fa69dadea67de9.jpg

Mkuu usisahau suala la vitabu,noleji yangu imeliwa na mijibapa[emoji120]
Unataka vitabu vya uwanja upi? Sema nifanye yangu.

Shemeji yako leo kaonekana hapa?
 
Tangu lini Mwakaleli kukawa na barabara ya lami? Mma ghwe utuache,wa kwenu huyo.
Haki ya Mwandosya nakuambia tena, lami kwetu hamna, ila tunaitamani kweli.
Ila siku zingine tunaendaga Tukuyu,jua likiwaka mchana,tunajigalagaza kwenye lami.Inakuwa ya moto hiyoo...tukilalia tumbo inakuwa tamu zaidi,yaani kazi yetu ni kuinua vichwa tu
Hata Koromije huku bado lami haijafika. Ajabu tunajenga kiwanja cha lami ili ndege ya Gwajima iweze kutua lakini barabara mbovu. Shangingi la DAB lenyewe linapita kwa shida...
 
Hata Koromije huku bado lami haijafika. Ajabu tunajenga kiwanja cha lami ili ndege ya Gwajima iweze kutua lakini barabara mbovu. Shangingi la DAB lenyewe linapita kwa shida...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tangu umeamka umekunywa maji ya kutosha?
[emoji125] [emoji125] [emoji125] sipo tayari kupimwa,sori...
 
Ngoja niangalie. General knowledge ni pana sana. Una ka mwelekeo mwelekeo hivi au anything goes?
Chochote kwa mlengo wa kuongeza maarifa (kiuchumi,kiimani,hata historia ya mambo ya sasa) kichwani.Hauwezi amini, hivi ninavyo andika nimetoka kusoma kitabu cha W M HARPER (Cost accounting) handbook cha 1991 yaani Second Edition... Hata sijui kwa sasa wapo Edition ya ngapi
 
Mkufunzi wa Chelsea Antonio Conte anasema kuwa hajaelezwa iwapo atalazimika kuwasajili wachezaji wowote katika dirisha la uhamisho la mwezi Januari iwapo mabingwa hao watetezi wanatarajiwa kuwafikia viongozi wa ligi Manchester City. (Guardian)
 
Watford wameonya kwamba mshambuliaji wao raia wa Brazil Richarlison, 20, ambaye alijiunga na klabu hiyo kwa mkataba wa miaka mitano kutoka Fluminence mnamo mwezi Agosti kwa kitita cha £11m na anavutia klabu za Tottenham na Chelsea hauzwi wakati wa dirisha la uhamisho la mwezi Januari. (London Evening Standard)
 
Kiungo wa kati wa Manchester City David Silva, 31, anatarajiwa kuandikisha mkataba mpya ambao utamweka mchezaji huyo wa Uhispania katika uwanja wa Etihad hadi 2020. (Daily Mirror)
 
Back
Top Bottom