Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"


Mweee!!! Ukoromije ni tatizo sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hahahaha jaman wakoromije wanasingiziwa

Wasukuma tumezidi kwa kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mwakaleli hiyo wewe...
Umesema?!!!!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mi-Aliens hiyo pengine ndo inawapa wazungu siri za kuendelea kututawala na kutunyonya, zikiwemo siri za maendeleo ya sayansi. Au wazungu wenyewe ndo ma aliens...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwakaleli...
Tangu lini Mwakaleli kukawa na barabara ya lami? Mma ghwe utuache,wa kwenu huyo.
Haki ya Mwandosya nakuambia tena, lami kwetu hamna, ila tunaitamani kweli.
Ila siku zingine tunaendaga Tukuyu,jua likiwaka mchana,tunajigalagaza kwenye lami.Inakuwa ya moto hiyoo...tukilalia tumbo inakuwa tamu zaidi,yaani kazi yetu ni kuinua vichwa tu
 
Mi-Aliens hiyo pengine ndo inawapa wazungu siri za kuendelea kututawala na kutunyonya, zikiwemo siri za maendeleo ya sayansi. Au wazungu wenyewe ndo ma aliens...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nadhani itakuwa yenyewe,au ubaya wa mieusi unawakera hadi wa sayari nyingine?!!
Mkuu usisahau suala la vitabu,noleji yangu imeliwa na mijibapa[emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…