Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Unataka vitabu vya uwanja upi? Sema nifanye yangu.Nadhani itakuwa yenyewe,au ubaya wa mieusi unawakera hadi wa sayari nyingine?!!
Mkuu usisahau suala la vitabu,noleji yangu imeliwa na mijibapa[emoji120]
Hata Koromije huku bado lami haijafika. Ajabu tunajenga kiwanja cha lami ili ndege ya Gwajima iweze kutua lakini barabara mbovu. Shangingi la DAB lenyewe linapita kwa shida...Tangu lini Mwakaleli kukawa na barabara ya lami? Mma ghwe utuache,wa kwenu huyo.
Haki ya Mwandosya nakuambia tena, lami kwetu hamna, ila tunaitamani kweli.
Ila siku zingine tunaendaga Tukuyu,jua likiwaka mchana,tunajigalagaza kwenye lami.Inakuwa ya moto hiyoo...tukilalia tumbo inakuwa tamu zaidi,yaani kazi yetu ni kuinua vichwa tu
Kuna muda nilikaona...Unataka vitabu vya uwanja upi? Sema nifanye yangu.
Shemeji yako leo kaonekana hapa?
Ngoja niangalie. General knowledge ni pana sana. Una ka mwelekeo mwelekeo hivi au anything goes?Kuna muda nilikaona...
-CIMA kidogo (accounting &auditing)
-General knowledge napenda zaidi...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tangu umeamka umekunywa maji ya kutosha?Hata Koromije huku bado lami haijafika. Ajabu tunajenga kiwanja cha lami ili ndege ya Gwajima iweze kutua lakini barabara mbovu. Shangingi la DAB lenyewe linapita kwa shida...
Chochote kwa mlengo wa kuongeza maarifa (kiuchumi,kiimani,hata historia ya mambo ya sasa) kichwani.Hauwezi amini, hivi ninavyo andika nimetoka kusoma kitabu cha W M HARPER (Cost accounting) handbook cha 1991 yaani Second Edition... Hata sijui kwa sasa wapo Edition ya ngapiNgoja niangalie. General knowledge ni pana sana. Una ka mwelekeo mwelekeo hivi au anything goes?
Shkamo shemeji,habari ya leoMiguuuuuuuuuuuuu !!!
Eti "nilikaona" [emoji23][emoji23][emoji23]Kuna muda nilikaona...
-CIMA kidogo (accounting &auditing)
-General knowledge napenda zaidi...
Makubwa....