Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Aibu sitaiona vile nitakuwa nimelala kwa kufunikwa tuliii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kifo cha kishujaa ila cha aibu[emoji23][emoji23][emoji23]
Ka - kiambishi awali kidogoshi pendezeshi japo hakipo katika Kiswahili Sanifu.Marahaba mama,habari ya majukumu...
Hii "ka" iliileta Shimba kwa kaandaetini Yego... Kayego[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hujalikoroga shem. Ni dalili kwamba unaniheshimu. Nitwange tu hizi shikamoo kwa sababu hakuna namna !!!Mmh!leo nimelikoroga[emoji19][emoji19][emoji19]