Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Akizungumzia hasara zilizotokana na mvua hiyo, Kanoni ameema kutokana na mvua hiyo, nyumba zipatazo 10 zimeezuliwa na nyingine kubomolewa kabisa na zinatakiwa kujengwa upya na wahanga waliopatwa na janga hilo tayari wamepatiwa hifadhi na misaada ya kibinadamu kwa wenzao.
 
Naye Mwenyekiti wa kamati ya maafa ya wilaya ya Nkasi ambaye ni Mkuu wa wilaya, Ndg. Said Mtanda, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kutoa wito kwa wananchi kujenga makazi bora kwani miongoni mwa nyumba hizo zipo ambazo zimeezekwa kwa nyasi.
 
Hapo awali jumla ya mataifa 10 yalitarajiwa kushiriki katika michuano hiyo mikubwa kwa ukanda huu wa Afrika Mashariki sasa baada ya kujitoa Zimbabwe zitakuwa zimesalia jumla ya nchi tisa huku droo ya hatua ya makundi ikionyesha mwenyeji Kenya itacheza mchezo wa ufunguzi dhidi ya Rwanda.
 
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo na Mbunge wa Kigoma Mjini Mh. Zitto Kabwe ameitaka timu ya taifa ya Tanzania Bara (Kilimanjaro Stars) kutoshuka dimbani kuikabili Libya siku ya Jumapili katika michuano ya CECAFA ikiwa ni hatua ya kuonyesha kuchukizwa na vitendo vya biashara ya utumwa vinavyoendelea katika nchi hiyo.
 
Zitto ameyasema hayo kupitia ukurasa wake wa kijamii wa Twitter ikiwa zimesalia siku chache kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania Bara kucheza mchezo wake wa kwanza siku ya Jumapili ya Desemba 3 dhidi ya Libya katika michuano ya Afrika Mashariki na Kati inayofanyika huko nchini Kenya.
 
Kilimanjaro Stars itacheza mchezo huo wa kundi A, katika kuwania kombe la michuano ya Afrika Mashariki na Kati CECAFA ambayo inatarajiwa kuchezwa nchini Kenya kuanzia Desembe 3 hadi 17 mwaka huu.

Mataifa 10 yanatarajiwa kushiriki katika michuano hiyo mikubwa kwa ukanda huu wa Afrika Mashariki huku droo ya hatua ya makundi ikionyesha mwenyeji Kenya itacheza mchezo wa ufunguzi dhidi ya Rwanda huku Tanzania ikiikabili Libya siku hiyo.
 
Nilimuona muda fulani wana-jakitoiana na kajakitoo kake[emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] (ipo siku tu,nami nibarikiwe[emoji445] [emoji443] [emoji444] [emoji443] [emoji445] [emoji444] [emoji442] )
Ubarikiwe nini?

Moudgulf njoo. Muungwana wako keshalianzisha huku [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom