[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji137] [emoji137]Nipo shemeji. Kwema huko? Naona Mzee wa Tukuyu anatema cheche na gospo za kufa mtu....
Mkuu Andjul habari yakoHayo ndo mazingira pekee yanayo mfanya mwanaume wa "kiume" asitoke hovyo hovyo nyumbani...
Asalaam Alyekum, kwema"Mama mwandiki hivi wajua kulala na nguo kunaweza sababisha upate kisukari baadae" [emoji23][emoji23][emoji23]nawaza tu kwa sauti[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Salama shemeji, Habari yako shem?Niaje shemeji[emoji137] [emoji137]
Ubarikiwe nini?Nilimuona muda fulani wana-jakitoiana na kajakitoo kake[emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] (ipo siku tu,nami nibarikiwe[emoji445] [emoji443] [emoji444] [emoji443] [emoji445] [emoji444] [emoji442] )
Safi kiongozi,habari yakoMkuu Andjul habari yako
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kulala na nguo ni hatari sana ujue?
Waweza kujikwaa pale unapokuwa unajarambika jarambika na mwenzio kuelekea.....(hata sijui kuelekea wapi??? ) Kwani nilitaka kusemaje?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamaniiiiUbarikiwe nini?
Moudgulf njoo. Muungwana wako keshalianzisha huku [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Habari ya Mbagala mkuu,kumekuchaUbarikiwe nini?
Moudgulf njoo. Muungwana wako keshalianzisha huku [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mzee wa kufyatua. Habari yako jakiUna visa kama Baba mwenye nyumba [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]