Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Salama shemeji, Habari yako shem?
Kati ya mashemeji zako wote huyu kuwa naye macho sana. Huyu shemejiyo huyu ni muungwana tena muungwana kweli kweli. Ni afadhali ya "mate" wako mara milioni mia kuliko huyu. Usijesema kuwa sikukuonya [emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
 
Hahahaha[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Aaaaaa jamaniii[emoji134] [emoji134] siaminiki kiasi hicho kweli!!!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Babes jamani shemeji huyu huyu au unamsingiziaa[emoji20] [emoji20] . Sawa Dadii nimekuelewa lakini....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…