Kumjulia khali tu,wallah sina ubaya nae ati[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unamtembelea mara kwa mara wapi? Kwake au kwangu? Na malengo ya hayo matembeleo ni nini?
Moudgulf njoo uone viroja vya muungwana wako huku [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumjulia khali tu,wallah sina ubaya nae ati[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]