Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Moudgulf njoo uone viroja vya muungwana wako huku [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijui moud kakimbilia wapi? Nilikuwa kwenye mitaa yetu ya kujidai Tmk,nimekuta kupo vururu vururu.Hata waliopo hakuna hata ninae mjua...Saluni tulipokuwa tunanyoa imebomolewa

Popote ulipo moud kuja pande hii...
 
Back
Top Bottom