andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Hapo sasaKwani ni lazima kupenda?
Hapo sasaKwani ni lazima kupenda?
Kabla sijajibu,huyu jamaa ndo yule aliye cheza filamu ya Boyz in the hood?Nimeipenda hii fomyula. Andjul unasemaje?
![]()
Ulimwengu. Kule punda pengine wanasaidiana kupanda kilima. Huku Homo Sapiens anakatwa kichwa. Na jua linawaka !!!
Waaapi,bado wanazunguka na vyeti kutafuta kazi. Kibaya zaidi vyeti wanavificha kwenye bahasha visionekane[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kuna muda binadamu tunatakiwa tutawaliwe na wanyamaUlimwengu. Kule punda pengine wanasaidiana kupanda kilima. Huku Homo Sapiens anakatwa kichwa. Na jua linawaka !!!
Laurence Fishburne wa kwenye Matrix - I think....Kabla sijajibu,huyu jamaa ndo yule aliye cheza filamu ya Boyz in the hood?
Sad !!!![]()
Binadamu tunafurahia kumgonga mbwa/paka/chura,n.k. Baada ya kufanya hivyo akili inarudi kukumbuka familia zetu tulizo ziacha nyumbani,kwa maana ya kuzithamini.
Je,mnyama tunaye muua hana familia?
Kwambaaaaa??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ungesemaaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Asante mkuu, habari yakopoleni wa kazini
Hakuna mcheshi kama wewe katika uzi huu. Hakuna !!!Wengine wooooote hawafai kuwekewa mifano isipokuwa mimi tu!!
Wee kitoto una matatizo sana,ni kama unaniombea mabaya vile...
Ila ofisini kuna raha yake asikuambie mtu,ile unaingia tu ofisini mara paap guu la jakitoo hiloo...loh!! Mtoto wa kisukuma babe S kachelewa naingia kwa...aaah!! Ile tu unamaliza kumshukuru muumbaji kwa maua uliyoyaona,kitu hichooo...carba anaingia kwa kujibiringa biringa[emoji23] [emoji23] [emoji23] jamaniii... Eee Mungu wa Yakobo[emoji120] [emoji120] sijamaliza hata sala uso kwa uso na Numbisa[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] sala inakatika automatikale[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Najuta kwa nini nilizaliwa mapema miee[emoji19] [emoji19] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] nimestaafu hata kabla kichwa changu hakija choka.
Ila napo namshukuru aliye Aliye juu,maana nisingepona kwa kweli.
Umoja wa likesumoja wetu udumu