Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ni hivi, kwa mfano andjul ni kibosile sehemu, sasa kwenye hiyo ofisi kuna mrembo wa haja; mwenye msambwada wa nguvu. Sasa huyu andjul akawa anamlia migo huyo bidada, kuna siku uzalendo ukamshinda ikabidi auguse msambwanda wa huyo dada, hili alilifanya Kama miaka 20 iliyopita; leo huyo bidada ameamua kufukua makaburi na kuliweka wazi mbele ya kadamnasi! Hapo andjul lazima kimuwakie tu! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550]
Wengine wooooote hawafai kuwekewa mifano isipokuwa mimi tu!!

Wee kitoto una matatizo sana,ni kama unaniombea mabaya vile...

Ila ofisini kuna raha yake asikuambie mtu,ile unaingia tu ofisini mara paap guu la jakitoo hiloo...loh!! Mtoto wa kisukuma babe S kachelewa naingia kwa...aaah!! Ile tu unamaliza kumshukuru muumbaji kwa maua uliyoyaona,kitu hichooo...carba anaingia kwa kujibiringa biringa[emoji23] [emoji23] [emoji23] jamaniii... Eee Mungu wa Yakobo[emoji120] [emoji120] sijamaliza hata sala uso kwa uso na Numbisa[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] sala inakatika automatikale[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Najuta kwa nini nilizaliwa mapema miee[emoji19] [emoji19] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] nimestaafu hata kabla kichwa changu hakija choka.

Ila napo namshukuru aliye Aliye juu,maana nisingepona kwa kweli.
 
IMG-20171105-WA0015.jpg
 
Kibaya zaidi jamaa hawasubiri hata ushahidi. Yaani ukishatajwa tu kuwa ulikosea ukagusa chuchu msumari hapo kifuani au hata vimaneno tu "You are beautifuf, you have a nice ass..." miaka hata 40 iliyopita basi unalo. Yaani jamaa wanafukuzwa kazi left and right na maisha yao na reputation kuharibiwa kabisa. Who knows, miaka 30 from now Carba ataweza kuibuka na kunishtaki kuwa nilikuwa namharasi sekishwale kwa kumuita shemeji kipenzi kwenye forum mfu iliyokuwa ikiitwa JF. Tena akiwa na screenshots basi atanimaliza kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti chuchu msumari kuna rafiki zangu wanaita chuchu kitunguu[emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani ile paaap!kesi hiyo mahakamani halafu shahidi ni andjul na yego,yaani hapo u a finishidi...
[emoji117][emoji117][emoji117]ninachojiuliza yaani kwanini waache kushtaki siku zote hizo?walikuwa wapi?
 
Matt Lauer ni latest "victim". Big names waliotangulia wamo akina Bill O'Reilly, Charlie Rose na wengineo. Mi nasubiri kuona mwanaume naye akijitokeza na kusema kuwa naye alinyanyaswa na bosi wa kike kwa kushikwa kidevu au mbupu zake nione reaction itakuwaje.

Hata uwe shahidi kesi hiyo hamtashinda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani dume zima na midevu yako unasimama mbele ya kadamnasi nakuanza kusema"ooh!mimi nilikiwa nimesimama bosi(ke)akaja akashika pumbu zangu"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji117][emoji117][emoji117]kinachofanya wanaume wasilalamike ni kuogopa fedheha na ukizingatia hatumchukulii mwanaume kama kiumbe dhaifu,inawezekana vitendo vya kidhalilishaji vinafanyika sana kwa wanaume ila sasa unaanzaje kulalamika?
Sijui mnaona utajivua uanaume wako au sijui ndo kuogopa aibu.
Iringa kule wanaume wanapigwa na wake zao ila wanajikaza.
 
Kigogo wa Pixar Studios naye kachukua leave of absence kisa wanawake kadhaa wameibuka na kudai kuwa amewahi kuwakumbatia kwa kuwabana sana kifuani. Ajabu sasa hata wanaume nao wanasema jamaa ni kawaida yake akikukumbatia ni lazima akubane kifuani haijalishi uko -me au -ke.
Huyo atakuwa na matatizo kwakweli yaani umkumbatie mwanaume mwenzio halafu unambana kifuani[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa mwanamke utasema unataka uguswe na ule ujazo,mwanaume mwenzio je?

Huyo jamaa ni shoga ama??
 
Mwanaume dizaini hiyo hawezi kujitokeza. Mwanaume kuitwa zoba si mchezo aisee, wewe na goli, kipa ushamvalisha darizi safi, halafu ushindwe kutikisa nyavu? [emoji23][emoji23][emoji23] Hiyo kesi tutamtafuta super Lawyer, dizaini ya Robert Kardashian; huwezi kuchomoa! [emoji1][emoji1]
Acheni uoga pazeni sauti
Kama nawaona na mabango yenu mnaandamana eti mnanyanyaswa kijinsia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wengine wooooote hawafai kuwekewa mifano isipokuwa mimi tu!!

Wee kitoto una matatizo sana,ni kama unaniombea mabaya vile...

Ila ofisini kuna raha yake asikuambie mtu,ile unaingia tu ofisini mara paap guu la jakitoo hiloo...loh!! Mtoto wa kisukuma babe S kachelewa naingia kwa...aaah!! Ile tu unamaliza kumshukuru muumbaji kwa maua uliyoyaona,kitu hichooo...carba anaingia kwa kujibiringa biringa[emoji23] [emoji23] [emoji23] jamaniii... Eee Mungu wa Yakobo[emoji120] [emoji120] sijamaliza hata sala uso kwa uso na Numbisa[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] sala inakatika automatikale[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Najuta kwa nini nilizaliwa mapema miee[emoji19] [emoji19] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] nimestaafu hata kabla kichwa changu hakija choka.

Ila napo namshukuru aliye Aliye juu,maana nisingepona kwa kweli.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]shemeji wewe ni changamoto ujue?
Yaani umenichekesha kha!

Habari ya leo?
 
Back
Top Bottom