ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Nani karani wa uzi?
Kuna mwingine zaidi ya moud?Nani mharibu uzi?
Zile za "happy ever after"Maisha ya ndoa si vile tulivyokuwa tunayatarajia
Nani waziri wa uzi?PM wa Uzi...
Nani mgambo wa uzi?Mfalme wa Uzi....
Umesemaaa??[emoji23][emoji23]Jamani, mimi mpole sana! Sina ukorofi wowote! [emoji23][emoji23]
Nani mpiga chabo wa uzi?Malkia wa Uzi....
Je, upo tayari kuolewa?Zile za "happy ever after"
Maisha yanachangamoto zake,na kila mtu ana madhaifu yake cha muhimu ni kusemeshana pale unapoona mambo hayaendi vizuri,muombeane na ukubali udhaifu wa mwenzio.Hakuna aliyekamilika....
Hivi KK yuko wapi?Nani karani wa uzi?
Na wewe??Je, upo tayari kuolewa?
Nani mpiga chabo wa uzi?
Umesemaaa??[emoji23][emoji23]
Kama nilivyo mimi[emoji23][emoji23][emoji23]Mpole mimi ujue, ooh! [emoji23][emoji23][emoji124][emoji124]
Jibu swali nililo kuswalika,upo tayari???Na wewe??
Shemeji umenitafutia mchumba ama?[emoji23][emoji23][emoji23]
Amina,na ikawe na kwako pia[emoji120]Baadae kidogo wapendwa! Muwe na siku njema wote! [emoji112][emoji124][emoji124]
Usiku mwema Yego....Baadae kidogo wapendwa! Muwe na siku njema wote! [emoji112][emoji124][emoji124]
Eeh!ndioJibu swali nililo kuswalika,upo tayari???
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] nataka kulewa,nataka kulewa[emoji445] [emoji444] [emoji445] [emoji444] [emoji443] [emoji442]Kama nilivyo mimi[emoji23][emoji23][emoji23]