Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Yaani dume zima na midevu yako unasimama mbele ya kadamnasi nakuanza kusema"ooh!mimi nilikiwa nimesimama bosi(ke)akaja akashika pumbu zangu"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji117][emoji117][emoji117]kinachofanya wanaume wasilalamike ni kuogopa fedheha na ukizingatia hatumchukulii mwanaume kama kiumbe dhaifu,inawezekana vitendo vya kidhalilishaji vinafanyika sana kwa wanaume ila sasa unaanzaje kulalamika?
Sijui mnaona utajivua uanaume wako au sijui ndo kuogopa aibu.
Iringa kule wanaume wanapigwa na wake zao ila wanajikaza.
Bosi (ke) akashika nini? [emoji134]♂️[emoji134]♂️