Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Dar es Salaam. Swahili wanasema ‘Mazoea hujenga tabia’ hicho kinachoendelea kwa Simba ilishindwa kutumia sare ya bao 1-1 ambayo Yanga waliipata dhidi ya Prisons ili iweze kuongeza pengo la pointi baada ya yenyewe kulazimishwa sare pia ya bao 1-1 na Lipuli FC.